HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, November 28, 2022

Athuman Rashid Makota wa Lindi achota milioni 6 za Bikosports

 
Na Mwandishi Wetu, Lindi


MECHI nane za ushindi alizoweka kwenye mkeka aliobashiri kwa kupitia Kampuni ya kubashiri michezo mbalimbali nchini Tanzania ya Bikosports, imempatia fedha kiasi cha Sh Milioni 6 mkazi wa Nachingwea, mkoani Lindi, anayejulikana kwa jina la Athumani Rashid Makota.

Akizungumzia ushindi wake, Makota alisema mechi nane alizobashiri zilimgharimu sh 1000 tu na kuibuka na bonasi bonge ya sh milioni 6 za bikosports kiasi cha kumpatia tabasamu pana.Alisema amepata fedha zake za bikosports zinazoenda kuongeza kasi ya kutafuta maisha kwa kuwekeza kwenye kilimo sambamba na kutatua pia baadhi ya changamoto zinazomkabiri.

“Niliweka mkeka wa Bikosports nikashinda sh Milioni 6 ambazo zimekuja wakati muafaka huku mtaji wangu ukiwa ni sh 1000 tu.

“Nawashukuru bikosports kwa kunipatia bonge bonasi ya fedha hizi ninazoamini kwa kiasi kikubwa zitanisaidia katika maisha yangu ya kila siku kama ilivyonitokea," Alisema Makota na kuwataka Watanzania wabashiri kwa kupitia bikosports ambapo namba ya kampuni ni 101010.

Watanzania wanaweza kubeti moja kwa moja kwa kupitia mtandao ambao ni kwa www.bikosports.co.tz bila kusahau wanaobeti kwa kwa kucheza *149*89# ambapo namba ya kampuni ni 101010 na kutoa nafasi kubwa kwa watu wote kubashiri na kupata ushindi kwa asilimis kubwa nchini.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad