UJENZI WA JENGO LA ABIRIA KIWANJA CHA NDEGE CHA SONGWE WAFIKIA ASILIMIA 68 - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, October 14, 2022

UJENZI WA JENGO LA ABIRIA KIWANJA CHA NDEGE CHA SONGWE WAFIKIA ASILIMIA 68

 

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa akikagua kazi za uwekaji ngazi za kwenye jengo la abiria katika Kiwanja cha Ndege cha Songwe. Mkoani Mbeya.Muonekano wa hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa jengo la abiria katika Kiwanja cha Ndege cha Songwe ambapo hadi sasa umefikia asilimia 68. Jengo hilo litakapokamilika litakuwa na uwezo wa kuhudumia abiria 600 kwa wakati mmoja.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad