HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, October 18, 2022

RAIS SAMIA AZINDUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI WA MKOA WA KIGOMA

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Kigoma mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Michezo wa Lake Tanganyika wakati akihitimisha ziara yake Mkoani humo tarehe 18 Oktoba, 2022.
Wananchi wa Mkoa wa Kigoma wakiwa kwenye uwanja wa Michezo wa Lake Tanganyika kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akihutubia katika mkutano wa hadhara tarehe 18 Oktoba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel akiangalia mashine ya (MRI) katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Maweni Kigoma mara baada ya kuweka  jiwe la Msingi Jengo la kutolea Huduma za Wagonjwa wa Dharura (EMD) na Wagonjwa Mahututi (ICU) Katika Hospitali hiyo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Kibirizi mara baada ya kuweka jiwe la Msingi mradi wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Bandari za Ziwa Tanganyika katika Sherehe zilizofanyika Kibirizi Mkoani Kigoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa pamoja na viongozi wengine wakati akivuta kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi mradi wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Bandari za Ziwa Tanganyika (Kibirizi na Ujiji) katika Sherehe zilizofanyika Kibirizi Mkoani Kigoma















Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa Mkoa wa Kigoma kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Michezo wa Lake Tanganyika wakati akihitimisha ziara yake Mkoani humo tarehe 18 Oktoba, 2022.




No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad