MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Husseinn Ali Mwinyi akipiga kura kumchagua Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Amani na Viongozi wa ngazi ya Wilaya wa CCM, uliofanyika katika ukumbi wa Afisi CCM Amani Mkoa wa Mjini Kichama.(Picha Ikulu)
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa nasaha zake kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa CCM Ngazi ya Wilaya ya Amani Kichama, uliofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Amani Mkoa leo 2-10-2022.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment