HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, October 15, 2022

MWENYEKITI WA CCM RAIS SAMIA ATEMBELEA OFISI ZA CCM NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI MKOA WA GEITA.

 


  

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akipokewa na viongozi wa Chama alipowasili katika Ofisi za CCM Mkoa wa Geita akiwa ziarani mkoani humo.

 

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akitia saini kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika Ofisi za CCM Mkoa wa Geita akiwa ziarani mkoani humo.

   

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Akizungumza na Viongozi wa CCM alipotembelea ofisi za Chama akiwa ziarani mkoani humo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad