Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji atembelea banda la NSSF katika Maonesho ya Madini - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, October 8, 2022

Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji atembelea banda la NSSF katika Maonesho ya Madini

Waziri wa Uwekezaji ,Viwanda na Biashara ,Mhe.Dkt.Ashatu Kijaji leo tarehe 8 Oktoba,2022 ametembelea banda la Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) alipotembelea mabanda mbalimbali kabla ya kufunga Maonesho ya Tano ya Teknlojia ya Madini katika viwanja vya uwekezaji EPZA Bombambili Mkoani Geita ambapo kupitia Maonesho hayo Mfuko uliweza kutoa elimu ya Hifadhi ya  Jamii, huduma ikiwemo kusajili wanachama wapya kutoka sekta binafsi na sekta isiyo rasmi wakiwemo wachimbaji wadogo wa madini.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad