KAMPUNI YA SBC TANZANIA YAWAPA FURAHA WAHITIMU WA DARASA LA SABA SHULE YA MSINGI KIHONZILE - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, October 7, 2022

KAMPUNI YA SBC TANZANIA YAWAPA FURAHA WAHITIMU WA DARASA LA SABA SHULE YA MSINGI KIHONZILE

Msimamizi wa Maendeleo ya Biashara wa Kampuni ya SBC Tanzania, Fadi El-Khalil akifurahi pamoja na wanafunzi wa darasa la saba wa Shule ya Msingi Kihonzile iliyopo Bunju, jijini Dar es salaam wakati wa mahafali ya kwanza ya shule hiyo yaliyofanyika hivi karibuni. Kampuni ya SBC Tanzania kupitia kinywaji chake cha Pepsi ilidhamini wa shughuli hiyo kwa kupeleka vinywaji.  Wanafunzi wa Darasa la Saba nchini kote walimaliza jana mtihani wao wa Taifa. Kulia ni Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya SBC Tanzania, Dorris Malulu.
Msimamizi wa Maendeleo ya Biashara wa Kampuni ya SBC Tanzania, Fadi El-Khalil akiimba pamoja na wanafunzi wa darasa la saba wa Shule ya Msingi Kihonzile iliyopo Bunju, jijini Dar es salaam wakati wa mahafali ya kwanza ya shule hiyo yaliyofanyika hivi karibuni. Kampuni ya SBC Tanzania kupitia kinywaji chake cha Pepsi ilidhamini wa shughuli hiyo kwa kupeleka vinywaji. Kulia ni Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya SBC Tanzania, Dorris Malulu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad