HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, October 23, 2022

Bofya Mara Moja Tu, Uibuke Mshindi Simu Meridianbet

 

KILA mmoja ni bingwa kwenye uwanja wake, na Meridianbet wanakupa nafasi ya kutamba kibingwa kwa kuibuka mshindi wa zawadi zao kibao.

Meridianbet wamekusogezea ofa kubwa kwa mchezaji mpya kabisa wa Meridianbet, wakati wachezaji wakongwe wakiendelea kufurahia ofa lukuki kwenye ubashiri wao.

Umewahi kukutana na Bonasi ya Ukaribisho Kubwa Kama Hii?

Meridianbet pekee, wanakupa nafasi ya kuweza kujisajili na kujiweka kwenye nafasi ya kushinda, simu mbili aina ya Sumsang Flip Z zikiwa mezani, tayari kwa kuchukuliwa na mshindi.

Bila shaka hii inaweza kuwa yako, muhimu ni kufuata maelekezo tuu! Promosheni hii inawahusu wateja wapya wanaojisajili kuanzia tarehe 17 Oktoba mpaka 18 Novemba mwaka huu.

Promosheni hii imeambatana na zawadi zingine lukuki. Mshindi atatazamwa kwa hesabu ya tiketi zake za jumla alizocheza kwa kipindi cha promosheni.

Washindi wana nafasi ya kupambania ushindi katika makundi mawili, upande wa ubashiri wa kawaida na upande wa kasino ya mtandaoni.

Kwa Upande wa Ubashiri wa michezo washindi watashinda kwa mpangilio wa nafasi zifuatazapo pamoja na nafasi zao, hii inaweza kuwa yako.



Tunakukumbusha pia kuwa Meridianbet wanaendesha promosheni ya kushinda boda boda na simu nyingine ya mkononi kwa ubashiri wa bila intaneti wa kupiga *149*10# na kubashiri kuanzia mechi tano kwa dau la shilingi 250 tu. Chagua merdianbet sasa!

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad