HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 31, 2022

BODI YA DAWA NA CHAKULA ZANZIBAR (ZFDA) IMETEKETEZA TANI 30 ZA TENDE

 



Hivi karibuni Bodi ya Dawa na Chakula Zanzibar  (ZFDA)  Imefanikiwa kuteketeza jumla ya tani 30 za  tende ilioharibika kutokana  na uhifadhi mbaya na kupelekea kutokua salama  Kwa matumizi ya  binaadam, pichani ni Tikatika likiteketeza tende  hiyo  katika jaa la Kibele Wilaya ya Kati Mkoa wa kusini Unguja.

 

  

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad