Mkuu
wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Absa Tanzania, Aron
Luhanga (wa nne kulia) akikabidhi vifaa vya kuhifadhia takataka kwa
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini ya KCMC,
Prof. Gileard Masenga, vilivyotolewa na benki hiyo ikiwa ni moja ya
matukio kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja ya Absa, mjini Moshi,
mkoani Kilimanjaro Leo.
Meneja
wa Benki ya Absa Tawi la Moshi, Pendo Abdallah akizungumza katika
Kanisa la Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini ya KCMC, katika hafla
ya kukabidhi vifaa vya kuhifadhia takataka vilivyotolewa na benki hiyo,
ikiwa ni sehemu ya madhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja, hospitalini
hapo, mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro leo.
Mkuu
wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Absa Tanzania, Aron
Luhanga akizungumza katika Kanisa la Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya
Kaskazini ya KCMC wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya kuhifadhia
takataka vilivyotolewa na Absa ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya
Huduma kwa Wateja, hospitali hapo, mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro leo.
Mkuu
wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Absa Tanzania, Aron
Luhanga, baadhi ya wafanyakazi wa Absa na watumishi wa Hospitali ya
KCMC, wakipiga picha ya kumbukumbu katika hafla ambayo, Absa ilikabidhi
msaada wa vifaa vya kuhifadhia takataka ikiwa ni sehemu ya matukio
kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja ya benki hiyo mjini Moshi,
Kilimanjaro Leo.
No comments:
Post a Comment