HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, September 5, 2022

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA MAJENGO YA WIZARA MBALIMBALI KATIKA MJI WA SERIKALI - MTUMBA DODOMA

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua jengo la Ofisi ya Waziri Mkuu-Sera, Bunge na Uratibu, wakati alipokagua maendeleo ya ujenzi wa majengo ya Wizara mbalimbali katika Mji wa Serikali-Mtumba, Dodoma Septemba 05, 2022 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Muonekano wa hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa majengo ya Wizara mbalimbali katika Mji wa Serikali - Mtumba jijini Dodoma . Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua ujenzi huo, Septemba 5, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad