WAZIRI MKUU AKUTANA NA NDUGU JAMES MBATIA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, September 2, 2022

WAZIRI MKUU AKUTANA NA NDUGU JAMES MBATIA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Ndugu. James Mbatia, wakati walipokutana katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam, Agosti 25 2022.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Ndugu. James Mbatia, wakati walipokutana katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam, Agosti 25 2022.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad