RAIS WA ZANZIBAR DK.HUSSEIN MWINYI AMEKUTANA NA BALOZI WA AUSTRALIA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, September 19, 2022

RAIS WA ZANZIBAR DK.HUSSEIN MWINYI AMEKUTANA NA BALOZI WA AUSTRALIA

 


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Austiralia Mhe.Luke Williams katika Nchi za Kenya,Rwanda na Tanzania,pia anawakilisha nchi yake Somalia na Burundi, wakati alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo akiwa na ujumbe wake.[Picha na Ikulu] 19/09/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Balozi wa Austiralia Mhe.Luke Williams katika Nchi za Kenya,Rwanda na Tanzania,pia anawakilisha nchi yake Somalia na Burundi, leo wakati wa mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar akiwa na ujumbe wake(hawapo pichani).[Picha na Ikulu] 19/09/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na  Balozi wa Austiralia Mhe.Luke Williams (katikati), katika Nchi za Kenya,Rwanda na Tanzania,pia anawakilisha nchi yake Somalia na Burundi wakati wa mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar akiwa na ujumbe wake.[Picha na Ikulu] 19/09/2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akibadilishana mawazo na mgeni wake Balozi wa Austiralia Mhe.Luke Williams katika Nchi za Kenya,Rwanda na Tanzania,pia anawakilisha nchi yake Somalia na Burundi, mara baada ya mazungumzo leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 19/09/2022.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad