Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Mtendaji Mkuu wa Global Fund, Ikulu Jijini Dar es Salaam - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, September 6, 2022

Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Mtendaji Mkuu wa Global Fund, Ikulu Jijini Dar es Salaam

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Global Fund Bw. Peter Sands ambaye aliambatana na Ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam 06 Septemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mtendaji Mkuu wa Global Fund Bw. Peter Sands mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam 06 Septemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mtendaji Mkuu wa Global Fund Bw. Peter Sands baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam 06 Septemba, 2022. 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad