MAJALIWA AZUNGUMZA KATIKA KIKAO NA VIONGOZI WA MKOA WA TABORA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, September 8, 2022

MAJALIWA AZUNGUMZA KATIKA KIKAO NA VIONGOZI WA MKOA WA TABORA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Kikao na Viongozi wa Mkoa wa Tabora kwenye ukumbi wa Isike Mwanakinyungi katika Manispaa ya Tabora, Septemba 8, 2022.

 Baadhi ya washiriki wa Kikao na Viongozi wa Mkoa wa Tabora wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao katika kikao hicho kwenye ukumbi wa Isike Mwanakinyungi katika Manispaa ya Tabora, Septemba 8, 2022. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad