HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, September 18, 2022

MAJALIWA AFUNGUA MASHINDANO YA MICHEZO YA SHULE ZA SEKONDARI NA MSINGI KWA NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA YA MASHARIKI

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua  timu ya soka ya Shule ya Sikondari   Upili ya High Way   jijini Nairobi  Kenya wakati alipofungua mashindano ya michezo ya Shule za Sekondari na Msingi kwa Nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid  jijini Arusha, Septemba 18, 2022.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi mpira Paul  Okumu ambaye ni Kipa  wa timu ya soka ya  Shule ya Sekondari  Upili  ya   High Way   jijini Nairobi  Kenya wakati alipofungua mashindano ya Michezo ya Shule za Sekondari na Msingi kwa Nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid  jijini Arusha, Septemba 18, 2022. 

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua mashindano ya michezo ya Shule za Sekondari na Msingi kwa Nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid  jijini Arusha, Septemba 18, 2022.

Baadhi ya washiriki wa  mashindano ya michezo ya Shule za Sekondari na Msingi kwa Nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki  wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza kwenye uwanja wa  Sheikh Amri Abeid jijini Arusha, Septemba 18, 2022.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad