MAHAFALI YA 10 YA DARASA LA SABA SHULE YA NYAMATA ACADEMY YAFANA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, September 17, 2022

MAHAFALI YA 10 YA DARASA LA SABA SHULE YA NYAMATA ACADEMY YAFANAMgeni rasmi Dkt. Donath Olomi akisoma hotuba kwenye Mahafali ya 10 ya darasa la Saba shule ya Nyamata Academy pamoja na mahafali ya 12 ya Shule ya Awali yaliyofanyika tarehe 17 Septemba, 2022.
Mwenyekiti wa Kamati ya shule ya Nyamata Academy, Salum Mkude akizungumza neno pamoja na kumkaribisha mgeni rasmi Dkt Donath Olomi wakati wa Mahafali ya 10 ya darasa la Saba shule ya Nyamata Academy pamoja na mahafali ya 12 ya Shule ya Awali yaliyofanyika tarehe 17 Septemba, 2022.
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Nyamata Academy akisoma hotuba pamoja na kutoa historia toka kuanzishwa kwa shule hiyo kwa mgeni rasmi Dkt Donath Olomi wakati wa Mahafali ya 10 ya darasa la Saba ya shule ya Nyamata Academy pamoja na mahafali ya 12 ya Shule ya Awali yaliyofanyika tarehe 17 Septemba, 2022.
Wahitimu wa  darasa la Saba ya shule ya Nyamata Academy wakifuatilia  wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi Dkt Donath Olomi wakati wa Mahafali ya 10 ya darasa la Saba ya shule ya Nyamata Academy pamoja na mahafali ya 12 ya Shule ya Awali yaliyofanyika tarehe 17 Septemba, 2022.
Mhitimu wa Darasa la Saba Annacareen Chonya akisoma risala kwa niaba ya wanafunzi wanaomaliza mbele ya mgeni rasmi Dkt Donath Olomi, viongozi wa Shule pamoja na wageni waalikwa  wakati wa Mahafali ya 10 ya darasa la Saba ya shule ya Nyamata Academy pamoja na mahafali ya 12 ya Shule ya Awali yaliyofanyika tarehe 17 Septemba, 2022.
\
Dada Mkuu wa Shule ya Nyamata Academy Wahida Kiduli akisoma risala kwa niaba ya wanafunzi wanaobaki mbele ya mgeni rasmi Dkt Donath Olomi, viongozi wa Shule pamoja na wageni waalikwa  wakati wa Mahafali ya 10 ya darasa la Saba ya shule ya Nyamata Academy pamoja na mahafali ya 12 ya Shule ya Awali yaliyofanyika tarehe 17 Septemba, 2022.
Mgeni rasmi Dkt Donath Olomi kikabidi zawadi na vyeti kwa baadhi ya wahitimu  waliofanya vizuri kwenye Masomo mbalimbali wakati wa Mahafali ya 10 ya darasa la Saba ya shule ya Nyamata Academy pamoja na mahafali ya 12 ya Shule ya Awali yaliyofanyika tarehe 17 Septemba, 2022.
Wanafunzi wa shule ya Awali wakitoa burudani wakati wa Mahafali ya 10 ya darasa la Saba ya shule ya Nyamata Academy pamoja na mahafali ya 12 ya Shule ya Awali yaliyofanyika tarehe 17 Septemba, 2022.
Wanafunzi wa shule ya Nyamata Academy wakitoa burudani wakati wa Mahafali ya 10 ya darasa la Saba ya shule ya Nyamata Academy pamoja na mahafali ya 12 ya Shule ya Awali yaliyofanyika tarehe 17 Septemba, 2022.
Baadhi ya wageni waalikwa wakifuatilia Mahafali ya 10 ya darasa la Saba ya shule ya Nyamata Academy pamoja na mahafali ya 12 ya Shule ya Awali yaliyofanyika tarehe 17 Septemba, 2022.
Mgeni rasmi Dkt. Donath Olomi akizundua Mtambo wa kuchuja maji na kutibu maji wakati wa Mahafali ya 10 ya darasa la Saba ya shule ya Nyamata Academy pamoja na mahafali ya 12 ya Shule ya Awali yaliyofanyika tarehe 17 Septemba, 2022.
Picha za pamoja

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad