Kamera ya Mtaa kwa Mtaa jioni hii imelinasa tukio hili la ajali iliyotokea eneo la Bamaga, Sinza iliyohusisha Daladala lenye T258DGJ linalofanya safari zake kati ya Makumbusho - Gerezani na Pikipiki yenye namba za usajili MC273BHL. Chanzo cha ajali uendeshaji uliokosa tahadhali kwa madereva wote wawili. Hakuna majeruhi
Tuesday, September 27, 2022

Kimewaka kweupeeee
Tags
# HABARI
# MATUKIO MTAANI
MATUKIO MTAANI
Labels:
HABARI,
MATUKIO MTAANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment