KAMATI YA NUU YARIDHISHWA NA MIKAKATI YA UTEKELEZAJI WA DIPLOMASIA YA UCHUMI - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, September 1, 2022

KAMATI YA NUU YARIDHISHWA NA MIKAKATI YA UTEKELEZAJI WA DIPLOMASIA YA UCHUMI

 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Joseph Sokoine akisoma taarifa ya Mikakati ya Utekelezaji wa Diplomasia ya Uchumi kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Joseph Sokoine akiendelea kusoma taarifa ya Mikakati ya Utekelezaji wa Diplomasia ya Uchumi kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU) huku wajumbe hao wakimsikiliza kwa makini.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU), Mhe. Victor Kawawa akisema jambo wakati wa kikao kati ya Uongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU).
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU) wakifuatilia kwa makini taarifa ya Mikakati ya Utekelezaji wa Diplomasia ya Uchumi iliyokuwa ikiwasilishwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Joseph Sokoine
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU), Mhe. Alexander Pastory Mnyeti akichangia jambo katika kikao hicho
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU), Mhe. Cosato Chumi akichangia jambo katika kikao hicho
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU), Mhe. Ali Hassan Omar King akichangia jambo katika kikao hicho
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Joseph Sokoine akinukuu hoja za Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU)
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bw. Justine Kisoka akifafanua jambo wakati wa kikao kati ya Uongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU)
Mkurugenzi wa Kitengo cha Diaspora katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi James Bwana akifafanua jambo wakati wa kikao kati ya Uongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU)
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Diplomasia ya Uchumi katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bw.Magabilo Murobi akifafanua jambo wakati wa kikao kati ya Uongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU)
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU) walioshiriki kikao kati ya Uongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Kamati hiyo.
Baadhi ya Wakuu wa Taasisi, Idara na Vitengo kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki walioshiriki kikao kati ya Uongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Kamati ya NUU.
Sehemu ya Wakuu wa Taasisi, Idara na Vitengo kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki walioshiriki kikao kati ya Uongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Kamati ya NUU.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Joseph Sokoine akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Taasisi, Idara na Vitengo kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki walioshiriki kikao kati ya Uongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Kamati ya NUU.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad