Benki ya Absa yazindua kwa mara ya kwanza huduma ya kutoa fedha kwenye ATM bila kadi - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, September 6, 2022

Benki ya Absa yazindua kwa mara ya kwanza huduma ya kutoa fedha kwenye ATM bila kadi

 

 Mkuu wa Kitengo cha Digitali na Ubora wa Huduma kwa Wateja, Samuel Mkuyu, akiskani alama maalumu (QR Code) ili kuweza kutoa pesa kwenye mashine ya ATM bila kutumia kadi halisi katika hafla ya uzinduzi wa huduma hiyo ya kwanza nchini jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Meneja Huduma za Kidigitali wa Absa, Adam Emmanuel.


Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Absa Tanzania, Aron Luhanga, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo katika uzinduzi wa huduma ya kutoa fedha katika mashine ya ATM bila ya kuhitajika kuwa na kadi halisi kwa kutumia mfumo wa (QR Code). Pichani kutoka kushoto ni, Mkuu wa Kitengo cha Miradi, Irene Mushi, Mkuu wa Kitengo cha Digitali na Ubora wa Huduma kwa Wateja, Samuel Mkuyu na Meneja Huduma za Kidigitali, Adam Emmanuel.
Mkuu wa Kitengo cha Digitali na Ubora wa Huduma kwa Wateja, Samuel Mkuyu, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo katika uzinduzi wa huduma ya kutoa fedha katika mashine ya ATM bila ya kuhitajika kuwa na kadi halisi kwa kutumia mfumo wa (QR Code). Pichani kutoka kushoto ni, Mkuu wa Kitengo cha Miradi, Irene Mushi, Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Absa Tanzania, Aron Luhanga na Meneja Huduma za Kidigitali, Adam EmmanuelWaandishi wa habari wakiwa kazini jijini Dar es Salaam leo katika uzinduzi wa huduma ya kutoa fedha katika mashine ya ATM bila ya kuhitajika kuwa na kadi halisi mfumo wa (QR Code) ikiwa ni huduma ya kwanza kuingia katika soko la huduma za kibenki nchini.Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Absa Tanzania, Aron Luhanga, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo katika uzinduzi wa huduma ya kutoa fedha katika mashine ya ATM bila ya kuhitajika kuwa na kadi halisi kwa kutumia mfumo wa (QR Code). Pichani kutoka kushoto ni, Mkuu wa Kitengo cha Miradi, Irene Mushi, Mkuu wa Kitengo cha Digitali na Ubora wa Huduma kwa Wateja, Samuel Mkuyu na Meneja Huduma za Kidigitali, Adam Emmanuel.
Mkuu wa Kitengo cha Digitali na Ubora wa Huduma kwa Wateja, Samuel Mkuyu, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo katika uzinduzi wa huduma ya kutoa fedha katika mashine ya ATM bila ya kuhitajika kuwa na kadi halisi kwa kutumia mfumo wa (QR Code). Pichani kutoka kushoto ni, Mkuu wa Kitengo cha Miradi, Irene Mushi, Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Absa Tanzania, Aron Luhanga na Meneja Huduma za Kidigitali, Adam EmmanuelWaandishi wa habari wakiwa kazini jijini Dar es Salaam leo katika uzinduzi wa huduma ya kutoa fedha katika mashine ya ATM bila ya kuhitajika kuwa na kadi halisi mfumo wa (QR Code) ikiwa ni huduma ya kwanza kuingia katika soko la huduma za kibenki nchini.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad