Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Ubaruku, Mbarali mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) Wilayani Mbarali Mkoani Mbeya tarehe 08 Agosti, 2022.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) Wilayani Mbarali katika hafla fupi iliyofanyika Ubaruku, Rujewa Mkoani Mbeya tarehe 08 Agosti, 2022.



No comments:
Post a Comment