HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, August 27, 2022

RAIS DK.HUSSEIN ALI MWINYI AZINDUA KAMPENI YA " UZAZI NI MAISHA" ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiongoza matembezi ya kilomita 5 yaliyofayika leo kuanzia viwanja wa Maisara Suleiman Jijini Zanzibar hadi uwanja wa Amaan Studium ikiwa ni kampeni ya "Uzazi ni Maisha"yaliyoandaliwa na Jumuiya ya AMREF HEALTH AFRICA ,ambapo Viongozi mbali mbali matembezi hayo . Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akianzisha Mbio fupi za kilomita 10 pamoja na matembezi ya kilomita 5 kuanzia viwanja wa Maisara Suleiman Jijini Zanzibar mpaka Uwanja wa Amaan Studium,zilizoandaliwa na Jumuiya ya AMREF HEALTH AFRICA ,ambapo Viongozi mbali mbali wameshiriki katika matembezi hayo.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiongoza matembezi ya kilomita 5 yaliyofayika leo kuanzia viwanja wa Maisara Suleiman Jijini Zanzibar hadi uwanja wa Amaan Studium ikiwa ni kampeni ya "Uzazi ni Maisha"yaliyoandaliwa na Jumuiya ya AMREF HEALTH AFRICA ,ambapo Viongozi mbali mbali matembezi hayo.
[Picha na Ikulu] 27/08/2022.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad