HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, August 28, 2022

MKUTANO WA 12 IFATSEA WAFUNGWA NA MKURUGENZI WA HUDUMA ZA TCAA

 

Mkurugenzi wa Huduma za Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Teophory Mbilinyi wakati wa kufunga mkutano wa 12 wa umoja wa vyama vya wahandisi wa mitambo ya kuongozea ndege Afrika(IFATSEA) uliofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 25 hadi 28 Agosti 2022. Tanzania Kupitia Chama Cha Wahandisi wa Mitambo Ya Kuongozea Ndege (TATSEA), imekuwa mwenyeji wa mkutano wa 12 wa umoja wa vyama vya wahandisi wa mitambo ya kuongozea ndege Afrika uliofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 25 hadi 28 Agosti.
Katibu Mtendaji wa Umoja wa vyama vya wahandisi wa mitambo ya kuongozea ndege Afrika(IFATSEA), Frank Koffi Apeagyei  akizungumza wakati wa kufunga  mkutano wa 12 wa umoja wa vyama vya wahandisi wa mitambo ya kuongozea ndege Afrika(IFATSEA) uliofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 25 hadi 28 Agosti 2022.


Baadhi ya wanachama wa umoja wa vyama vya wahandisi wa mitambo ya kuongozea ndege Afrika(IFATSEA) pamoja na wadau wa Sekta ya Anga wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi Mkurugenzi wa Huduma za Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Teophory Mbilinyi wakati wa kufunga wa mkutano wa 12 wa IFATSEA unaofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 25 hadi 28 Agosti 2022.
Mkurugenzi wa Huduma za Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Teophory Mbilinyi(wapili kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu Mtendaji wa Umoja wa vyama vya wahandisi wa mitambo ya kuongozea ndege Afrika(IFATSEA), Frank Koffi(wa kwanza kulia, Rais wa Chama cha Wahandisi wa Mitambo ya Kuongozea Ndege Tanzania(TATSEA), Mhandisi Francis Asante Chale(wa pili kushoto) mara baada ya kufungwa kwa mkutano wa IFATSEA uliofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 25 hadi 28 Agosti 2022. 
Rais wa Chama cha Wahandisi wa Mitambo ya Kuongozea Ndege Tanzania(TATSEA), Mhandisi Francis Asante Chale(kulia) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mkutano wa 12 wa umoja wa vyama vya wahandisi wa mitambo ya kuongozea ndege Afrika(IFATSEA) mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa IFATSEA uliofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 25 hadi 28 Agosti 2022. Kushoto ni Mkurugenzi wa Huduma za Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Teophory Mbilinyi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad