Absa yazindua kadi ya malipo ya visa kwa wafanyabiashara - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, August 24, 2022

Absa yazindua kadi ya malipo ya visa kwa wafanyabiashara

 

Mkuu Wa Kitengo cha wateja Binafsi wa Benki ya Absa, Bi. Ndabu Lilian Swere ( katikati), Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano, Aron Luhanga ( kushoto) na Meneja wa Bidhaa za Wateja  Binafsi wa benki hiyo, Bi. Elfrida Mruma wakionyesha  kadi mpya ya malipo ya Visa kwa wafanyabiashara ya benki ya Absa baada ya kuizindua jijini Dar es Salaam Leo.
Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Absa Tanzania, Aron Luhanga ( kushoto) akizungumza wakati wa uzinduzi wa kadi ya malipo ya Visa kwa wafanyabiashara ya benki ya Absa jijini Dar es Salaam Leo. Kushoto kwake ni Mkuu Wa Kitengo cha wateja Binafsi wa benki hiyo, Ndabu Lilian Swere na Meneja wa Bidhaa za Wateja  Binafsi wa Absa, Elfrida Mruma.
Mkuu Wa Kitengo cha wateja Binafsi wa Benki ya Absa Tanzania, Bi. Ndabu Lilian Swere ( katikati ), akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa uzinduzi wa kadi ya malipo ya Visa kwa wafanyabiashara ya benki ya Absa. Kutoka kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Absa, Aron Luhanga  na Meneja wa Bidhaa za Wateja  Binafsi wa benki hiyo, Elfrida Mruma.

 Meneja wa Bidhaa za Wateja  Binafsi wa Benki ya Absa Tanzania, Bi. Elfrida Mruma ( kulia ) akizungumza wakati wa uzinduzi wa kadi ya malipo ya Visa kwa wafanyabiashara ya benki ya Absa jijini Dar es Salaam leo. Kulia kwake ni Mkuu Wa Kitengo cha wateja Binafsi wa Benki ya Absa, Bi. Ndabu Lilian Swere na Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano  wa benki hiyo, Aron Luhanga

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad