TMDA YAKUTANA NA WADAU WAKE KUJADILI MIKAKATI YA KUHAKIKISHA USALAMA NA UFANISI WA VIFAATIBA NCHINI - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, July 3, 2022

TMDA YAKUTANA NA WADAU WAKE KUJADILI MIKAKATI YA KUHAKIKISHA USALAMA NA UFANISI WA VIFAATIBA NCHINI

 Watumishi wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) wakiwa katika picha ya pamoja na wadau wa Vifaa Tiba na vitendanishi tiba.MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) yakutana na wadau wa Vifaa Tiba na vitendanishi tiba leo katika Ofisi Ndogo ya Makoo Mkuu jijini Dar es Salaam lengo ni kuwaajengea uwezo wa matakwa ya kisheria ya kuzibiti ubora na kuwasililiza changambo wanazo kuwanazo waingizaji na wasambazi wa vifaatiba na gesi si tiba Katika kusajili nakuingiza na kusambaza ilikulinda afya ya jamii.

Kaimu Mkurungezi wa Vifaa tiba na Vitendanishi wa (TMDA)Kisa Mwamwitwa (kulia) akiwasilisha mada kuhusu kisheria ya kuzibiti ubora wa vifaatiba na Gesi tiba leo katika Ofisi Ndogo ya Makoo Mkuu jijini Dar es Salaam.
Kaimu Meneja wa Vifaa tib na Vitendajishi akiwasilisha mada kuhusu Vifaatiba na Vitendanishi Katika mkutano wa wadau uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Ukaguzi Vifaa tiba na Gesi tiba wa (TMDA) Bw. Bryceson Kibasa akiwasilisha mada kuhusu matakwa ya sheria kabla na baada ya kuwepo kwenye soko vifaa hivyo leo katika Ofisi Ndogo ya Makoo Mkuu ya (TMDA) jijini Dar es Salaam.


Sehemu ya wadau wa Vifaa Tiba na vitendanishi tiba. 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad