Kaimu
Mkurugenzi Idara ya Uthibiti Kiusalama wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga
Tanzania(TCAA) Clara Mpili akiwasilisha mada kuhusu kazi zinazotakiwa
kufanywa na Kamati ya Kumshauri Mkurugenzi Mkuu masuala yote yanayohusu Usafiri wa Anga hapa nchini wakati wa kutambulisha Kamati hiyo kwenye mkutano uliofanyika Makao makuu ya Mamlaka hiyo Jijini Dar es Salaam.
Mjumbe
wa Kamati ya Kumshauri Mkurugenzi Mkuu kwenye masuala mahususi ya
Usafiri wa Anga Jude Mkai akichangia mada mara baada ya Mkurugenzi Mkuu
wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA), Hamza S.Johari
kutambulisha Kamati ya Kumshauri kwenye mkutano uliofanyika Makao makuu
ya Mamlaka hiyo Jijini Dar es Salaam.
Mjumbe
wa Kamati ya Kumshauri Mkurugenzi Mkuu kwenye masuala ya Mahususi ya
Usafiri wa Anga, Mtesigwa Maugo akitoa ushauri kwa TCAA kuweza kusimama
na kamati hiyo ili kufikia malengo waliyojiwekea kama Mamlaka baada ya
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA), Hamza
S.Johari kutambulisha Kamati ya Kumshauri kwenye masuala ya Mahususi ya
Usafiri wa Anga kwenye mkutano uliofanyika Makao makuu ya Mamlaka hiyo
Jijini Dar es Salaam.
Mjumbe
wa Kamati ya Kumshauri Mkurugenzi Mkuu kwenye masuala ya Mahususi ya
Usafiri wa Anga, Raphael Bokango akizungumza namna walivyojipanga kuweza
kumshauri Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo mara baada ya Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA), Hamza S.Johari
kutambulisha Kamati ya Kumshauri kwenye masuala ya Mahususi ya Usafiri
wa Anga kwenye mkutano uliofanyika Makao makuu ya Mamlaka hiyo Jijini
Dar es Salaam.

Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Kumshauri Mkurugenzi Mkuu kwenye masuala ya Kiufundi ya Usafiri wa Anga pamoja na wafanyakazi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa TCAA, Hamza S.Johari alipokuwa anatambulisha Kamati ya Kumshauri kwenye masuala Mahususi ya Usafiri wa Anga kwenye mkutano uliofanyika Makao makuu ya Mamlaka hiyo Jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA), Hamza S.Johari(kulia) akimkabidhi vitendea kazi Mjumbe wa Kamati ya Kumshauri Mkurugenzi Mkuu kwenye masuala Mahususi ya Kiufundi ya Usafiri wa Anga, Raphael Bokango (kushoto) mara baada ya kutambulisha Kamati ya hiyo kwenye mkutano uliofanyika Makao makuu ya Mamlaka hiyo Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA), Hamza S.Johari(kulia) akimkabidhi vitendea kazi Mjumbe wa Kamati ya Kumshauri Mkurugenzi Mkuu kwenye masuala Mahususi ya Kiufundi ya Usafiri wa Anga, Kapten Michael Mnyune (kushoto) mara baada ya kutambulisha Kamati hiyo kwenye mkutano uliofanyika Makao makuu ya Mamlaka hiyo Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA), Hamza
S.Johari(kulia) akimkabidhi vitendea kazi Mjumbe wa Kamati ya Kumshauri
Mkurugenzi Mkuu kwenye masuala Mahususi ya Kiufundi ya
Usafiri wa Anga, Mtesingwa Maugo(kushoto) mara baada ya kutambulisha
Kamati hiyo kwenye mkutano uliofanyika Makao makuu ya Mamlaka hiyo
Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA), Hamza
S.Johari(kulia) akimkabidhi vitendea kazi Mjumbe wa Kamati ya Kumshauri
Mkurugenzi Mkuu kwenye masuala Mahususi ya Kiufundi ya
Usafiri wa Anga, Jude Mkai (kushoto) mara baada ya kutambulisha Kamati
hiyo kwenye mkutano uliofanyika Makao makuu ya Mamlaka hiyo Jijini Dar
es Salaam.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA), Hamza
S.Johari(kulia) akimkabidhi vitendea kazi Mjumbe wa Kamati ya Kumshauri
Mkurugenzi Mkuu kwenye masuala ya Mahususi ya Kiufundi ya Usafiri wa
Anga, Juma Fimbo(kushoto) mara baada ya kutambulisha Kamati hiyo kwenye
mkutano uliofanyika Makao makuu ya Mamlaka hiyo Jijini Dar es Salaam.
Mjumbe
wa Kamati ya Kumshauri Mkurugenzi Mkuu kwenye masuala ya Kiufundi ya
Usafiri wa Anga, Juma Fimbo akitoa neno la Shukrani kwa Uongozi wa
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) chini ya Mkurugenzi Mkuu wa
Mamlaka hiyo, Hamza S.Johari alipotambulisha Kamati ya hiyo kwenye mkutano uliofanyika Makao makuu ya Mamlaka hiyo Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA), Hamza S.Johari akiwa
kwenye picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati wa Kamati ya Kumshauri
Mkurugenzi Mkuu kwenye masuala ya Kiufundi ya Usafiri wa Anga na
wafanyakazi wa Mamlaka hiyo mara baada ya kamati hiyo kutambulishwa
rasmi.
No comments:
Post a Comment