HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, July 3, 2022

MAJALIWA AHUTUBIA KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA KUPINGA DAWA ZA KULEVYA DUNIANI

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha nakala ya kitabu cha Riwaya  kiitwacho Punje ya Tumaini iliyotungwa na Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania  (TBC), Elizabeth Mramba  (kushoto) katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani Kwenye Viwanja Mnazi Mmoja  jijini Dar es salaam, Julai 2,  2022. Katikati ni Kamishina Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya, Gerald Kusaya, kwenye viwanja viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam, Julai 2, 2022.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata  utepe wakati alipozindua kitabu cha Riwaya  kiitwacho Punje ya Tumaini iliyotungwa na Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania  (TBC), Elizabeth Mramba  (kushoto) katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani Kwenye Viwanja Mnazi Mmoja  jijini Dar Es Salaam, Julai 2,  2022. Katikati ni Kamishina Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya, Gerald Kusaya, kwenye viwanja viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam, Julai 2, 2022.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya kupinga Matumizi ya Dawa za Kulevya Duniani yaliyofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Mnanzi Mmoja jijini Dar es salaam, Julai 2, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Baadhi ya wananchi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupinga Matumizi ya Dawa za Kulevya Duniani yaliyofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Mnanzi Mmoja jijini Dar es salaam, Julai 2, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wakati alipowasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam kuhitimisha maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupinga Matumizi ya Dawa za Kulevya Duniani yaliyofanyika kitaifa kwenye viwanja hivyo , Julai 2, 2022. Kutoka kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makala, Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, Kamishina Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya, Gerald Kusaya, Mbunge wa Viti Maalum, Fatuma Tawfiq na wa tatu kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es salaam, Hassan Rugwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa   Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania  (TBC), Elizabeth Mramba  (kushoto)  kuhusu  kitabu cha Riwaya   kiitwacho Punje ya Tumaini katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani kwenye Viwanja Mnazi Mmoja  jijini Dar Es Salaam, Julai 2,  2022. . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad