HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, June 6, 2022

RAIS WA ZANZIBAR AZUNGUMZA NA MKUU WA MAJESHI YA ULINZI TANZANIA JENERALI VENANCE MABEYO IKULU ZANZIBAR


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Venance Salvatory Mabeyo, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kuja kumuaga, mazungumzo hayo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Venance Salvatory Mabeyo, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kuja kumuaga, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Venance Salvatory Mabeyo, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar alipoka kwa ajili ya kumuaga.
(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad