


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka (kulia) na Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shangai (katikati) kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 29, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kilosa, Profesa Palamagamba Kabudi (kulia) na Mbunge wa Bukoba Vijijini, Dkt. Jasson Rweikiza kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 29, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment