HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, May 25, 2022

WAZIRI MKUU ATEMBELEA MAONESHO YA WIZARA YA NISHATI NA TAASISI ZAKE

 


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Kaimu Meneja Mkuu wa Kampuni Tanzu ya Shirika la Petroli Tanzania GASPO - TPDC, Injinia. Bartazar Mroso kushoto) wakati akitembelea mabanda, kwenye maonesho ya Wizara ya Nishati na Taasisi zake, yaliyofanyika kwenye viwanja vya Bunge, jijini Dodoma. Mei 25, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Waziri wa Nishati, January Makamba, kwenye maonesho ya Wizara ya Nishati na Taasisi zake, yaliyofanyika kwenye viwanja vya Bunge, jijini Dodoma. Mei 25, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiangalia vipeperushi, wakati akitembelea mabanda, kwenye maonesho ya Wizara ya Nishati na Taasisi zake, yaliyofanyika kwenye viwanja vya Bunge, jijini Dodoma. Mei 25, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nishati, January Makamba, wakati alipotembalea banda la Mkoa wa Kigoma, kwenye maonesho ya Wizara ya Nishati na Taasisi zake, yaliyofanyika kwenye viwanja vya Bunge, jijini Dodoma. Mei 25, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad