KASINO ya Mtandaoni ya Meridianbet inakuletea mchezo bomba
wa Blackjack Live unaopatikana mubashara ukiwa umetengenezwa na
watenganezaji maarufu wa michezo ya kasino, Expanse Studios.
Blackjack Live ni mchezo wenye maudhui
na sheria za Ulaya unaochezeshwa mubashara kwakutumia kibunda chenye karata 8.
Mchezo wa Blackjack Live ni mchezo unaopendwa
na kuchezwa sana ulimwenguni. Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakuhakikishia burudani
na ushindi kupitia Blackjack Live huku ukiwa na fursa ya faida hadi mara
100:1 ya dau uliloliweka.
Unachotakiwa
kukifanya ni kubashiri karata gani mchezeshaji (dealer) ataiweka mezani na kuifunua. Tofauti ya Blackjack Live
na Blackjack nyingine ni kwamba, hii
ina bunda lenye karata 8 na sio 52. Vilevile, mchezo huu unachezwa mubashara kabisa kutoka kwenye studio
za Riga.
Kuwa
makini na mchezeshaji wa Blackjack
kwani, ushindi upo hapo! Pamoja na hayo, ubashiri wa karata unalipwa kwa
viwango. Sloti
ya Blackjack Live
inachezwa kwenye meza zaidi ya moja na kila meza inaweza kuwahudumia wachezaji 7. Chaguo la Bet Behind litakupa
fursa ya wewe kuweka dau hata kama umechelewa kuanza na mchezeshaji
atakuelekeza nini unachotakiwa kukifanya kwenye mchezo huo.
Una
sekunde 15 tu za kuweka ubashiri na mchezeshaji ataanza kuchezesha karata.
Mchezeshaji atasimama kwenye 17 na Blackjack italipa 3 na zikiwa kwenye uwiano wa mara 6:1, 12:1 au 25.
Shinda kistaa kupitia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na mchezo wa Blackjack Live.
Vigezo na Masharti, kuzingatiwa. Hairuhusiwi Kwa Wenye Umri Chini ya Miaka 18.
No comments:
Post a Comment