
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi
(2021) Prof Abdulrazak Gurnah. alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa
mazungumzo na kujitambulisha, akiwa Zanzibar kwa matembezi na
kuhudhuria, Tamasha la Sanaa na Utamaduni wa Muafrika lililofanyika
katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Mshindi wa Tuzo ya
Nobel ya Fasihi (2021) Prof.Abdulrazak Gurnah, baada ya kumaliza
mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo
26-5-2022, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu.

RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akiagana na mgeni wake Mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi (2021)
Prof.Abdulrazak Gurnah, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika
katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-5-2022, mazungumzo hayo
yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment