HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, May 27, 2022

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AHUDHURIA SALA YA IJUMAA MSIKITI MKUU WA BAKWATA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally, alipowasili katika Msikiti Mkuu wa Bakwata Kinondoni Jijini Dar Es salaam kwa ajili ya kuhudhuria Swala ya Ijumaa tarehe 27 Mei 2022.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiondoka katika Msikiti Mkuu wa Bakwata Kinondoni Jijini Dar Es salaam baada ya kumalizika kwa Swala ya Ijumaa tarehe 27 Mei 2022.

 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad