HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, May 30, 2022

Rais Samia azungumza na Kikosi Kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa, Ikulu Jijini Dar es Salaam

 RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akutana na Kuzungumza na Kikosi Kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa, Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mwenyekiti wa Kikosi Kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa Profesa Rwekaza Mukandala aliyeambatana na baadhi ya Wajumbe wa Kikosi kazi hicho Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Mei, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa na Mwenyekiti wa Kikosi Kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa Profesa Rwekaza Mukandala kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Wajumbe wa Kikosi kazi hicho mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Mei, 2022.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad