HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, May 20, 2022

Rais Samia akutana na Kuzungumza na Meneja Mkaazi wa Benki ya AfDB

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akutana na Kuzungumza na Meneja Mkaazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Tanzania Dkt. Patricia Laverley Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Meneja Mkaazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) katika Ofisi ya Tanzania Dkt. Patricia Laverley mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 20 Mei, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye mazungumzo na Meneja Mkaazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) katika Ofisi ya Tanzania Dkt. Patricia Laverley mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 20 Mei, 2022.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad