HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, May 2, 2022

NIC yaonyesha umahiri wa utoaji bima nchini

*Ni katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Mkoa wa Dar es Salaam

Na Chalila Kibuda,Michuzi TV 

SHIRIKA la Taifa la Bima (NIC) limeshiriki maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Mkoa wa Dar es Salaam na kuonyesha umahiri wao katika kutoa huduma za bima nchini.

Katika Maadhimisho wameweza kusherekea  kwa ndelemo na vifijo kwa kunyesha wana uthubutu wa kutoa huduma bora kwa wananchi kwa kauli yao ya Sisi Ndiyo Bima.

Wafanyakazi hao katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi  wamekuwa ari ya kwenda kufanya kazi kwa ubunifu kwa kuongeza bidhaa zinazokwenda kutatua changamoto.

NIC imekuwa na bidhaa za Bima ambazo  Nyumba,Biashara,Magari ,Bima ya pamoja za magari Flex Bima na Bima ya Kilimo kuanza kutolewa katika kuwaondolea machungu wakulima.

 

Matukio mbalimbali ya Wafanyakazi wa Shirika la Taifa la Bima (NIC) katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Mkoa wa Dar es Salaam katika viwanja vya Uhuru Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad