HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, May 25, 2022

KATIBU MKUU CHONGOLO AFUNGUA MAFUNZO KIBAHA


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akihutubia wakati wa ufunguzi wa masomo awamu ya tatu katika Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere, Kibaha mkoani Pwani leo tarehe 25, Mei 2022.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akifuatilia hotuba ya Waziri wa Idara ya Mambo ya Nje ya CPC Comrade Song Tao (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa masomo awamu ya tatu katika Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere, Kibaha mkoani Pwani leo tarehe 25, Mei 2022.No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad