HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, May 7, 2022

EPL, LALIGA NA LIGI ZINGINE ULAYA KUENDELEA WIKIENDI HII

 

*Zifuate Odds Bora na Bonasi Kubwa za Meridianbet!
BAADHI ya timu zimeshamaliza misimu kwa kuzijua nafasi zao, zingine bado zinajitafuta huku wengine wakitafuta nafasi ya kuweka heshima kwa wapinzani. Meridianbet tunakupa nafasi ya kuzifuata Odds bora na bonasi kubwa wikiendi hii, mkeka wako uweke hivi;

Anfield utachezwa mchezo wa EPL kati ya Liverpool na Tottenham Hotspurs. Licha ya Liverpool kujihakikishia nafasi ya kucheza fainali ya UEFA mwishoni mwa mwezi huu, bado yupo kwenye kinyang’anyiro cha EPL akichuana vikali na Man City. Spurs naye anaipambania nafasi ya 4 kwenye EPL akichuana vikali na Arsenal na Chelsea. Huu ni mchezo mzito, Meridianbet tumeurahisisha kwa kukuwekea Odds ya 1.45 kwa Liverpool.

Ureno kutapigwa mtanange mkali kati ya wababe, Benfica vs FC Porto. Zinapokutana timu hizi nyavu lazima zitingishike, iwe ni ligi, mchezo wa kirafiki au mashindano ya aina yeyote. Upinzani ni mkali. Hamishia upinzani wao kwenye pesa, ifuate Odds ya 2.17 kwa Porto.

 

Ni jumapili tulivu inayoongozwa kwa mtangane wa Madrid Derby. Dimba la Wanda Metropolitano kusimamia mchezo wa Atletico Madrid vs Real Madrid. Vijana wa Ancelotti wameshatwaa ubingwa wa LaLiga licha ya msimu kua haujaisha, wanakwenda kuchuana na Simeone ambaye bado anaisaka nafasi ya 4 kwa udi na uvumba. Odds ya 2.07 ipo kwa Atletico Madrid kupitia Meridianbet.

 

Wakati Ajax ikijiweka tayari kwa maisha mapya bila Erik Ten Hag msimu ujao, bado wanapambania kutwaa taji la 3 la Ligi Kuu soka nchini Uholanzi. Nyuma yao kuna PSV ambao watakua na kibarua kizito dhidi ya Feyernoord. Mbizo za kuwania ubingwa ni kali nchini Uholanzi, nani ni nani? Maliza utata kwa Odds ya 2.35 kwa Feyernoord.

 

Wote wameshajijua hawachezi Ligi ya Mabingwa msimu ujao lakini, Fiorentina vs AS Roma sio mchezo wa kuubeza. Serie A inakupa nafasi ya kutengeneza pesa Jumatatu, ianze wiki yako ukiwa na kitita mfukoni! Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.50 kwa Fiorentina.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad