HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, April 8, 2022

WAZIRI MKUU AFANYA UKAGUZI BANDARI YA DAR ES SALAAM

 


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Wandendaji wa Bandari ya Tanzania TICTS, na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwenye ukumbi wa Mamlaka ya Bandari jijini Dar es salaam, Aprili 8, 2022.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad