HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, April 11, 2022

Rais Samia afutarisha Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akifutari pamoja na Viongozi wa Dini, Wanasiasa, Wazee na Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam katika Futari aliyoiyandaa Jana 10 April 2022 Ikulu Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad