Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Kongamano la Kitaifa la Ufuatiliaji na Tathimini kwenye ukumbi wa PSSSF jijini Dodoma, Aprili 27, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama akizungumza katika Kongamano la kitaifa la Ufuatiliaji na Tathimini lililofunguliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa PSSSF jijini Dodoma, Aprili 27, 2022. Kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Deogratius Ndejembi.
No comments:
Post a Comment