HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, April 29, 2022

BODABODA MASASI WAPATA ELIMU

 

Afisa Mnadhimu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Mkadam Mkadam akitoa elimu kwa  Waendesha Bodaboda katika kituo cha mabasi cha Wilayani Masasi Mkoani Mtwara wakati alipokuwa safarini kuelekea Jijini Dar es Salaam. (Picha na A/INSP Frank Lukwaro)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad