HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, February 22, 2022

Rais Samia Suluhu Hassan awasili Mkoani Geita

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa mkoa wa Geita alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Geita leo tarehe 22 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wasanii wa vikundi mbalimbali vya ngoma za asili alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Geita leo tarehe 22 Februari, 2022

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad