WAZIRI MKUU AMJULIA HALI MUFTI NA SHEIKH MKUU - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, January 5, 2022

WAZIRI MKUU AMJULIA HALI MUFTI NA SHEIKH MKUU


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimjulia hali, Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Bin Zubeir ambaye amelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) mkoani Dar es salaam kwa matibabu, Januari 5, 2022. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MOI  Dkt. Samweli Swai.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad