WIKIENDI bomba kabisa ya ushindi inaanzia kule Hispania, kwenye dabi ya Madrid, wakati Real Madrid anapovaana na Atletico Madrid. Hii inakuwa ni mara ya 169 wababe hawa kukutana kwenye La Liga, Real akishinda mara 89 na Atletico mara 39. Meridianbet wamekuwekea odds bomba kwa wapinzani hawa wa jadi.
Huku EPL Vinara wa kundi Manchester City wanavaana na Wolverhampton wikiendi hii, wakiwa wamepania kujisimika vyema kileleni kwenye Ligi Kuu. Wolves wanafurukuta kumaliza wikiendi wakiwa wamejikwamua kwenye nafasi ya nane. Odds 5.00 kwa Man City kushinda kwa 2-0.
Washika bunduki Arsenal wanawawashia
moto Southampton Jumamosi hii. Baada ya kupoteza mechi tatu katika gemu zao 5
zilizopita, Arsenal wanataka kurekebisha makosa. Southampton watafanya maajabu?
Norwich City wanawaleta nyumbani Mashetani Wekundu wakiwa na njaa baada ya
kupoteza gemu 2 zilizopita za EPL. Meridianbet
wamekuwekea odds 6.60 Arsenal kuambulia sare, na odds 1.45 kwa Man United
kuondoka na ushindi ugenini.
Chelsea akifanya makosa wikiendi hii
anajiweka mbali zaidi na mabingwa watetezi katika kuwania taji la Ligi Kuu
msimu huu, Leeds ana kibarua kikubwa kuondoka na ushindi ugenini. Liverpool pia
wanahitaji kuwika dhidi ya Aston Villa wakisaka kupunguza gepu la pointi dhidi
ya City. Tupa karata yako kwa Leeds kupata magoli
vipindi vyote kwa odds 9.40, pia mpe ushindi Liverpool wa 2-1 kwa odds ya 8.20.
Jumapili hii Leicester City anakutana
na Newcastle United, mwenyeji amejikuta akilazimisha sare mbili na ushindi mmoja
kwenye gemu tano zilizopita za ligi, huku mgeni wake akipania kujiondoa kwenye
mstari mwekundu kushuka daraja. Burnley pia akiwa nafasi ya 18 anamsogeza
ugenini West Ham United anayetaka kujisimika vyema kwenye nne bora wikiendi
hii. Ushindi kwa Leicester anakupa odds 1.7. West Ham akikuhakikishia odds 2.06 kushinda
mechi hii.
Una nafasi ya kufanya machaguo mengi zaidi na ligi kibao unazopenda kupitia tovuti www.meridianbet.co.tz au Application ya simu ya Meridianbet. Furahia kubashiri na mabingwa!
Meridianbet,
Uhakika wa Odds Bora na Bonasi Kubwa!
No comments:
Post a Comment