Vodacom Tanzania sponsors Uwezo Awards - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, November 23, 2021

Vodacom Tanzania sponsors Uwezo AwardsMeneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Plc, Alex Bitekeye akikabidhi Tuzo kwa Klabu ya Shule ya Sekondari Tambaza baada ya kuibuka washindi wa Tatu kwenye hafla ya Uwezo Award Ceremony 2021. Vodacom Tanzania Foundation ilidhamini tuzo hizo zenye lengo la kuwahasisha wanafunzi kuonyesha vipaji vyao, hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam leo.Meneja Uhusiano wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Plc Alex Bitekeye akimkaribisha mkuu wa wilaya ya Kisarawe Nickson Simon kuhudhuria hafla ya Uwezo Award Ceremony 2021 ambapo taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation ilidhamini hafla hiyo yenye lengo la kuwahamasisha vijana kuonyesha vipaji vyao.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad