RAIS WA ZANZIBAR DKT. HUSSEIN ALI MWINYI AFANYA MAZUNGUMZA NA KIONGOZI MKUU WA KANISA LA EFATHA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, November 22, 2021

RAIS WA ZANZIBAR DKT. HUSSEIN ALI MWINYI AFANYA MAZUNGUMZA NA KIONGOZI MKUU WA KANISA LA EFATHA

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Kanisa la Efatha, ukiongozwa Kiongozi Mkuu wa kanisa hilo.Bw. Josephat Elias Mwingia (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-11-2021.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Efatha.Bw. Josephat Elias Mwingia, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Efatha.Bw.Josephat Elias Mwingia, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad