RAIS WA ZANZIBAR DKT. HUSSEIN ALI MWINYI AKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA IRELAND NCHINI TANZANIA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, November 8, 2021

RAIS WA ZANZIBAR DKT. HUSSEIN ALI MWINYI AKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA IRELAND NCHINI TANZANIA

 

 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mgeni wake  Balozi wa Jamhuri ya Ireland Nchini Tanzania Bibi.Mary O'Nell  wakati wa mazungumzo yao alipofika Ikulu jijini Zanzibar leo kujitambulisha.Picha na Ikulu]    08/11/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na  Mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Ireland Nchini Tanzania Bibi.Mary O'Nell  alipofika kujitambulisha Ikulu jijini Zanzibar  .Picha na Ikulu]    08/11/2021. 
Jamhuri ya Ireland Nchini Tanzania Bibi.Mary O'Nell  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Mgeni wake  Balozi wa  baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar pamoja na kujitambulisha.[Picha na Ikulu] 08/11/2021. 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad