HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, November 29, 2021

RAIS WA ZANZIBAR DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEKUTANA NA UJUMBE WA TAASISI YA WAKAGUZI WA NDANI

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa  akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Wakaguzi wa Ndani Tanzania (IIAT) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar pamoja na kupokea  pongezi  kwa Uongozi wake wa mwaka Mmoja (kushoto) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Injinia Zena Ahmed Said.
Wasaidizi wa Rais, wakiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Taasisi ya Wakaguzi wa Ndani Tanzania (IIAT)walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kukutana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  (kulia) akipokea Kitabu cha  Muongozo wa Kimataifa kwa Waguzi wa Ndani kutoka kwa Rais wa Taasisi ya Wakaguzi wa Ndani Tanzania (IIAT)Nd,Zelia Njeza baada ya mazungumzo na Ujumbe wa Taasisi hiyo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar pamoja na kupokea  pongezi  kwa Uongozi wake wa mwaka Mmoja .[Picha na Ikulu] 29/11/2021

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad