HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, November 26, 2021

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI, MH. GODWIN GONDWE ASHIRIKI BIRIANI FESTIVAL NA COCA-COLA



Baadhi ya mashabiki wakiburudika kwa kufurahia muziki uliokuwa ukitumbuizwa na wasanii tofauti (hawapo pichani) wakati wa kilele cha tamasha la ‘Biriani Festival na Coca-Cola’ lililofanyika mapema wiki hii katika viwanja vya Posta, Kijitonyama jijini Dar es Salaam ambalo pia ni sehemu ya shamrashamra za kampeni mpya ya ‘Maajabu Halisi.’ Kampuni hiyo kupitia kinywaji chake cha Coca-Cola imekuwa ikishirikiana na wafanyabiashara wa chakula cha biriani ambacho kimekuwa maarufu katika maeneo tofauti ya jiji.

 



 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mh. Godwin Gondwe (katikati) akiteta jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Coca-Cola Kwanza Tanzania, Unguu Sulay (kushoto) wakati wa kilele cha tamasha la ‘Biriani Festival na Coca-Cola’ lililofanyika mapema wiki hii katika viwanja vya Posta, Kijitonyama jijini Dar es Salaam ambalo pia ni sehemu ya shamrashamra za kampeni mpya ya ‘Maajabu Halisi.’ Akifuatilia kwa makini mazungumzo hayo, kulia ni Mkurugenzi wa Masuala ya Umma na Mawasiliano wa Coca-Cola Kwanza Tanzania, Salum Nassor. Kampuni hiyo kupitia kinywaji chake cha Coca-Cola imekuwa ikishirikiana na wafanyabiashara wa chakula cha biriani ambacho kimekuwa maarufu katika maeneo tofauti ya jiji
 

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mh. Godwin Gondwe (kushoto) pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Coca-Cola Kwanza Tanzania, Unguu Sulay (kulia) wakitembelea baadhi ya mabanda ya wafanyabiashara wakati wa kilele cha tamasha la ‘Biriani Festival na Coca-Cola’ lililofanyika mapema wiki hii katika viwanja vya Posta, Kijitonyama jijini Dar es Salaam ambalo pia ni sehemu ya shamrashamra za kampeni mpya ya ‘Maajabu Halisi.’ Pamoja nao kwa nyuma ni, Mkurugenzi wa Masuala ya Umma na Mawasiliano wa Coca-Cola Kwanza Tanzania, Salum Nassor. Kampuni hiyo kupitia kinywaji chake cha Coca-Cola imekuwa ikishirikiana na wafanyabiashara wa chakula cha biriani ambacho kimekuwa maarufu katika maeneo tofauti ya jiji.


Mwigizaji wa Filamu Tanzania, Esha Buheti (wa kwanza kulia) akiwahudumia wateja kama miongoni mwa mfanyabiashara aliyeshiriki kilele cha tamasha la ‘Biriani Festival na Coca-Cola’ lililofanyika mapema wiki hii katika viwanja vya Posta, Kijitonyama jijini Dar es Salaam ambalo pia ni sehemu ya shamrashamra za kampeni mpya ya ‘Maajabu Halisi.’ Kampuni hiyo kupitia kinywaji chake cha Coca-Cola imekuwa ikishirikiana na wafanyabiashara wa chakula cha biriani ambacho kimekuwa maarufu katika maeneo tofauti ya jiji.
 Baadhi ya wateja na wahudhuriaji wakifurahia chakula cha biriani na kinywaji cha Coca-Cola wakati wa kilele cha tamasha la ‘Biriani Festival na Coca-Cola’ lililofanyika mapema wiki hii katika viwanja vya Posta, Kijitonyama jijini Dar es Salaam ambalo pia ni sehemu ya shamrashamra za kampeni mpya ya ‘Maajabu Halisi.’ Kampuni hiyo kupitia kinywaji chake cha Coca-Cola imekuwa ikishirikiana na wafanyabiashara wa chakula cha biriani ambacho kimekuwa maarufu katika maeneo tofauti ya jiji.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Coca-Cola Kwanza Tanzania, Unguu Sulay, akizungumza wakati wa kilele cha tamasha la ‘Biriani Festival na Coca-Cola’ lililofanyika mapema wiki hii katika viwanja vya Posta, Kijitonyama jijini Dar es Salaam ambalo pia ni sehemu ya shamrashamra za kampeni mpya ya ‘Maajabu Halisi.’ Kampuni hiyo kupitia kinywaji chake cha Coca-Cola imekuwa ikishirikiana na wafanyabiashara wa chakula cha biriani ambacho kimekuwa maarufu katika maeneo tofauti ya jiji.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya wa Bongo Flava, Stamina, akitumbuiza jukwaani kwa wahudhuriaji na mashabiki (hawapo pichani) wakati wa kilele cha tamasha la ‘Biriani Festival na Coca-Cola’ lililofanyika mapema wiki hii katika viwanja vya Posta, Kijitonyama jijini Dar es Salaam ambalo pia ni sehemu ya shamrashamra za kampeni mpya ya ‘Maajabu Halisi.’ Kampuni hiyo kupitia kinywaji chake cha Coca-Cola imekuwa ikishirikiana na wafanyabiashara wa chakula cha biriani ambacho kimekuwa maarufu katika maeneo tofauti ya jiji.
 Msanii wa muziki wa Hip-Hop nchini, Joh Makini, akitumbuiza jukwaani kwa wahudhuriaji na mashabiki (hawapo pichani) wakati wa kilele cha tamasha la ‘Biriani Festival na Coca-Cola’ lililofanyika mapema wiki hii katika viwanja vya Posta, Kijitonyama jijini Dar es Salaam ambalo pia ni sehemu ya shamrashamra za kampeni mpya ya ‘Maajabu Halisi.’ Kampuni hiyo kupitia kinywaji chake cha Coca-Cola imekuwa ikishirikiana na wafanyabiashara wa chakula cha biriani ambacho kimekuwa maarufu katika maeneo tofauti ya jiji.

 Msanii wa muziki wa kizazi kipya wa Bongo Flava, Baba Levo, akitumbuiza jukwaani kwa wahudhuriaji na mashabiki (hawapo pichani) wakati wa kilele cha tamasha la ‘Biriani Festival na Coca-Cola’ lililofanyika mapema wiki hii katika viwanja vya Posta, Kijitonyama jijini Dar es Salaam ambalo pia ni sehemu ya shamrashamra za kampeni mpya ya ‘Maajabu Halisi.’ Kampuni hiyo kupitia kinywaji chake cha Coca-Cola imekuwa ikishirikiana na wafanyabiashara wa chakula cha biriani ambacho kimekuwa maarufu katika maeneo tofauti ya jiji.
 Msanii wa muziki wa Hip-Hop nchini, Frida Amani, akitumbuiza jukwaani kwa wahudhuriaji na mashabiki (hawapo pichani) wakati wa kilele cha tamasha la ‘Biriani Festival na Coca-Cola’ lililofanyika mapema wiki hii katika viwanja vya Posta, Kijitonyama jijini Dar es Salaam ambalo pia ni sehemu ya shamrashamra za kampeni mpya ya ‘Maajabu Halisi.’ Kampuni hiyo kupitia kinywaji chake cha Coca-Cola imekuwa ikishirikiana na wafanyabiashara wa chakula cha biriani ambacho kimekuwa maarufu katika maeneo tofauti ya jiji.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya wa Bongo Flava, Baddest 47, akitumbuiza jukwaani kwa wahudhuriaji na mashabiki (hawapo pichani) wakati wa kilele cha tamasha la ‘Biriani Festival na Coca-Cola’ lililofanyika mapema wiki hii katika viwanja vya Posta, Kijitonyama jijini Dar es Salaam ambalo pia ni sehemu ya shamrashamra za kampeni mpya ya ‘Maajabu Halisi.’ Kampuni hiyo kupitia kinywaji chake cha Coca-Cola imekuwa ikishirikiana na wafanyabiashara wa chakula cha biriani ambacho kimekuwa maarufu katika maeneo tofauti ya jiji.
 DJ Dommy akiwarusha wahudhuriaji na mashabiki (hawapo pichani) wakati wa kilele cha tamasha la ‘Biriani Festival na Coca-Cola’ lililofanyika mapema wiki hii katika viwanja vya Posta, Kijitonyama jijini Dar es Salaam ambalo pia ni sehemu ya shamrashamra za kampeni mpya ya ‘Maajabu Halisi.’ Kampuni hiyo kupitia kinywaji chake cha Coca-Cola imekuwa ikishirikiana na wafanyabiashara wa chakula cha biriani ambacho kimekuwa maarufu katika maeneo tofauti ya jiji.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad